Kiungo wa kutumainiwa wa Aston Villa ya uingereza fabian delph amejiunga rasmi na timu ya Manchester City akitokea Aston villa kwa ya paun milon nane ,kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 atakuwa anapata mshahara wa kiasi paun laki moja kwa wiki
kiungo huyo mwanzoni alikanusha madai ya kuamia city na kusema atabakia villa park lakini kwa hali ya kushangaza mambo yakabadilika na kutua city kuhungana na stering kotoka liverpool fc
No comments:
Post a Comment