Saturday, 8 August 2015

Man United 1-0 Tottenham Hotspurs


Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker
Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle Walker, katika dakika ya 22 ya kipindi cha kwanza, lilitosha kuwapa vijana wa Louis van Gaal ushindi muhimu na alama tatu za kwanza dhidi ya mahasimu wao Tottenham Hotspurs.
United ilikuwa imeikaribisha Hotspurs katika uwanja wa Old Trafford katika mechi ya kufungua msimu huu wa ligi kuu ya premia ya Uingereza.
Rooney !
94 Manchester united wanafungua msimu huu kwa kuandikisha ushindi muhimu dhidi ya Tottenham Hotspurs
94'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
94'' Mpira umekwisha
Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
Kipa wa United akilazimika kufanya kazi ya ziada katika dakika 4 za mwisho kuinyima
Tottenham Hotspurs bao
91''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
90'' Sasa ni dakika nne za ziada
90'Muda wa kawaida umekamilika.
88''Tottenham Hotspurs wanafanya mashambulizi kwenye lango la Man United
Matteo Darmian
82 'Muitaliano Matteo Darmian akifanya mambo yake katika mechi yake ya kwanza ya Manchester united
79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
71''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
70''Takwimu:Manchester United 50%-50% Tottenham Hotspurs
69'' Schweinsteiger amekaribishwa na kadi ya njano
Bastian Schweinsteige
67''Bastian Schweinsteiger ndiye mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United
64'' United wanashambulia lango la Tottenham kwa mara ya kwanza tangu mech hii ianze
Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur 55''
62''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
59''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger ameingia uwanjani
55'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
53''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
52''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger anajifua mashabiki wanashangilia!
Man United 1-0 Tottenham
46'' Kipindi cha Pili kimeanza
45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
Wachezaji wapya wa Man United walioanza mechi hii
Memphis Depay , Morgan Schneiderlin, Matteo Darmian Sergio Romero
Sheria zilizobadilika katika msimu huu.
Sheria ya Offside
Adhabu dhidi ya kudanganya kuwa umeumia ilimpinzani wako apewe kadi
Meneja sharti watii sheria na kanuni zilizowekwa
Mpira mpya
Manchester United vs Tottenham Hotspur
45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
45'' Kipindi cha kwanza kimekwisha.
22''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
Timu:Tottenham Hotspur
13 Vorm02 Walker04 Alderw''eireld05 Vertonghen 33 Davies15 Dier06 Bentaleb19 Dembélé23 Eriksen22 Chadli10 Kane
Wachezaji wa akiba: 01 Lloris08 Mason11 Lamela16 Trippier20 Alli 27 Wimmer 28 Carroll
Timu:Manchester United
Christian Eriksen alipoteza nafasi nzuri kutoka Kane
20 Romero 36 Darmian12 Smalling17 Blind23 Shaw16 Carrick28 Schneiderlin08 Mata07 Depay18 Young10 Rooney
Wachezaji wa akiba:14 Hernández21 Herrera25 A Valencia31 Schweinsteiger33 McNair44 Pereira50 Johnstone
Manchester wanafungua udhia dhidi ya Tottenham Hotspur
Lakini ni timu gani ambayo ni maarufu zaidi katika bara hili?
Kocha Van Gaal
Nembo hii ya kimataifa katika soka inafuatiliwa na zaidi ya watu bilioni moja kote duniani na watu milioni 260 kati ya hao wapo barani Afrika.
Huku msimu mpya wa mwaka 2015-16 ukianza, majumba ya starehe na mikahawa kutoka Cape Town hadi Cairo
itakuwa ikijiandaa kukidhi mahitaji ya mashabiki wengi watakaokuwa wakifika tayari kushudia kipute hicho kwenye runinga kubwa kubwa zilizotundikwa ukutani.
Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, Ligi Kuu ya England ndio sasa basi, ndio mwisho wa kila kitu, ndio eneo lao la maabadi.

Wednesday, 5 August 2015

D'MARIA SS RASMI PSG

Mchezaji wa Man United D'maria ametua rasmi kwenye klabu ya PSG baada kukamilika kwa vipimo vya afya hapo juzi katika mji wa DUBAI dilio iyo inakadiliwa kufikia kiasi cha pauni milioni 46 , lakini klabu hizo mbili bado hazijawakilisha rasmi dili hiyo

Sunday, 2 August 2015

BENTEKE AANZA MAMBO AFUNGA BONGE LA BAO

ONA HAPA ALIVYOFANYA

Arsenal bingwa Ngao ya Hisani

Washika mitutu wa London Arsenal leo hii wamevunja mwiko wa kutoifunga chelsea ya kocha Josse MOURINHO kwa muda mrefu

Goli lililofungwa na Chamberane lilitosha kuipa ushindi Arsenal zidi ya chelsea

D'MARIA KUFANYA VIPIMO VYA AFYA LEO

Kiungo machachari wa Man united anatalajiwa kufanyiwa vipimo vya leo hii ndani ya saa 24 katika mji wa dubai tayari kuijiunga na timu ya PSG ya Ufaransa kwa ada ya isiozidi paun milioni 44.3

Man Utd agree £44.5m Di Maria sale to PSG

AZAM BINGWA KAGAME CUP

Timu ya Azam fc imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kageme Cup baada ya kuifunga timu ya Golmahia fc ya kenya kwa jumla ya magoli mawili kwa bila majibu magoli hayo yaliweza kufungwa na Jonh Bokko pamoja nae Kipre Cheche katika vipi vyote viwili ,