Saturday, 18 July 2015

KIPA KUTUA MAN UNITED

Inasemeka kipa wa Sampdoria na timu ya taifa ya Argentina Sergio Romero anatazamiwa kufanya vipimo vya afya marekani kwa ajiri ya kukamilisha usajili wake wa kuelekea  MANCHESTER UNITED
mchezaji huyo ambaye yuko huru baada ya kumaliza mkataba na timu yake hiyo ya zamani sasa ni mchezaji huru
kwa sasa united inaitaji kipa wa kiwango cha juu baada makipa wake wawili kuwa katika haraki za kuondoka

GERRARD STEVEN ASHWINDA KUISAHAU LIVERPOOL

Ni miezi miwili tangu nahodha huyo wa majogoo wa LONDON kucheza kwa mara ya mwisho katika timu hiyo na kujiunga na timu LA Galaxy lakini imeoneka kama kamwe awezi kuusahau iyo timu aliyokulia na kuitumikia karibu kwa miaka 25 kwani alionekana akiwa na( Shin Pad) vikinga ugoko vya  liverpool  katika mechi ya timu yake LA Galaxy na SJ Earth Quekes kupata ushindi wa goli 5 kwa mbili

ambapo GERRARD alifunga goli moja na kutengeneza lingine

Embedded image permalink

YANGA YAPATA KICHAPO KAGAME CUP

Timu ya Yanga fc ya Dar es salaam leo jioni imewezwa kufungwa na timu ya Gorlmahia ya kenya kwa jumla ya mabao 2 kwa moja

mchezo huo ambao ulianza kwa kasi Yanga ndio iliyokuwa ya kwanza kufunga goli ,baaada ya mchezaji wa gorlmahia beki Boniface Olochu  kujifunga kutokana na mpira uliopigwa mshambuliaji wa Yanga mzimbabwe DORNAD NGOMA

Hata hivyo goli hilo halikudumu sana kwani dakika kumi baadae golmahia walisawazisha goli hilo kwa mpira wa faulo iliyopigwa kiufundi na kuunganishwa vizuri na beki  Dirkir Glay wao wa kati na kufanya matokeo kuwa moja kwa moja hadi mapumziko

kipindi cha pili kilianza huku kila timu zote zikianza kucheza kwa taratibu zikijalibu kusomana lakini walikuwa ni gormahia ndio waliofanikiwa kufunga bao baada ya mabeki wa Yanga kushindwa kuokoa mpira uliokuwa unaelekea golini kwao na kupokonywa na mshambuliaji wa golmahia na kumchambua vizuri kipa wa Yanga Bartezh

baada ya bao hilo Yanga walikuja juu na kufanikiwa kupata penati ambayo hata hivyo beki wa Yanga ambaye ni nahodha wa timu hiyo nadir canavaro alishindwa kuuweka mpira huo kimiani , na penalt hiyo ilipatikana baada beki wa Golmahia kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari

hata hivyo kunako dakika ya 25 Yanga ilipata pigo baada mchezaji wake tegemeo NGOMA kuonyeshwa kadi nyekundu kufuatiwa kupata kadi ya pili ya njano

Kikosi cha Yanga SC kilikuwa; Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul/Joseph Zuttah dk75, Mwinyi Hajji Mngwali, Kevin Yondan, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Mbuyu Twite, Simon Msuva/Kpah Sherman dk69, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe, Donald Ngoma na Deus Kaseke/Salum Telela dk84. 


Gor Mahia; Boniface Olouch, Mussa Mohammed, Sibomana Abouba, Harun Shakava, Kari Nzigiyimana, Dirkir Glay, Khalid Aucho/Erick Ochieng dk89, Godfrey Walusimbi/Ronald Omino dk86, Innocent Wafula/Enock Agwanda dk86, Medie Kagere na Michael Olunga.



matokeo mengine ni kama ifuatavyo

KMKM 1   TELEKOM FC 0

APR 1 HEEGAN 0

EMBU TABILI MATOKEO HAPO KATI YA VIKOSI VIKALI VYA ULAYA NA AMERICA YA KUSINI

MAN UNITED KAZINI USA

KAGAME KUTIMUA VUMBI KESHO UWANJA WA TAIFA

Michuano ya kombe la kagame inatalajiwa kutimua vumbi apo baada mchana huu  majira ya saa nane mchana Ratiba kamili kama ifuatavyo

Surtuday.Julai 18
KMKM vs TELECOM           
APR  vs  SHANDY               
YANGA vs GOR MAHIA       
sunday Julai 19
LLB AFC vs HEGAAN FC  
ADAMA CITY vs MALAIKA
AZAM  vs KCCA                 
monday .Julai 20
TELECOM vs KHARTOUM-N  
GOR MAHIA vs KMKM 
tuesday.Julai 21
SHANDY vs LLB AFC      
HEGAAN vs  APR   
Malaika vs Azam        
wenesday.Julai 22
KHARTOUM vs KMKM
KCCA vs ADAMA City
TELECOM vs YANGA    
thursday. Julai 23
HEGAAN vs SHANDY
APR vs LLB  AFC     
friday.Julai 24
KHARRTOUM-N vs GOR MAHIA
KMKM  vs YANGA
Surtuday. Julai 25
KCCA vs MALAKIA
ADAMA CITY vs AZAM    
sunday.Julai 26
GOR MAHIA vs TELECOM    
YANGA vs KHARTOUM-N    
 monday. Julai 27
Quarter-Final
Wed. Julai 29
B1 vs A3
A1 vs Best Qualifier
B2 vs C2
C1 vs A2
Thu. Julai 29
Rest Day
Fri. Julai 31
Semi finals
Sat. August 1
Winner 25 vs Winner 26
Winner 23 vs Winner 24
Sun.2 August
Final & 3rd Place Player
Loser 27 vs Loser 28
Winner 27 vs Winner 28

Kikosi cha Yanga kitakachopambana na Gor Mahia leo hiki hapa

MICHUANO YA KAGAME || KUNDI A.
YANGA SC vs GOR MAHIA.
KIKOSI CHA YANGA LEO.
1.Ally Mustafa Mtinge "Barthez" 
2.Juma Abdul Mnyamani 
3.Haji Mwinyi Ngwali 
4.Kelvin Patrick Yondani "Cotton" 
5.Nadir Haroub Ally "Cannavaro " (C)
6.Mbuyu Twite 
7.Simon Happygod Msuva 
8.Haruna Niyonzima "Fabregas" 
9.Amiss Jocelyn Tambwe
10.Donald Dombo Ngoma 
11.Deus David Kaseke.
BENCHI.
Deogratius Munishi "Dida"
Joseph Tetteh Zuttah
Rajab Zahir
Salum Abo Telela "Master"
Kpah Sean Sherman.
Andrey Coutinho.
Geofrey Mwashiuya.
Kocha Mkuu.
Hans Van Pluijm.
Kocha Msaidizi.
Charles Boniface Mkwasa " Master"
Meneja.
Hafidh Saleh
Chanzo:Naipenda YANGA

Friday, 17 July 2015

RUDI NYUMBANI

Ndivyo wanavyosema Atletico Madrid kwa kijana wao Filipe Luis ,
klabu ya Atletical Madrid ipo kwenye mazungumzo na Chelsea fc kwa ajili ya kumsajili mchezaji filipe luis ambaye hapo awali waliwauzia the blues

kwa sasa maisha yamekuwa magumu kwa mchezaji huyo baada ya kushindwa kupata namba ya kudumu kwenye klabu ya chelsea kutokana na uwepo wa AZPACLUETA

Atletico Madrid in talks to sign Chelsea's Filipe Luis

FABIAN DELPH AJIUNGA LASMI NA MANCHESTER CITY


Delph blames 'emotion' for Manchester City transfer U-turn

Kiungo wa kutumainiwa wa Aston Villa ya uingereza fabian delph amejiunga rasmi na timu ya Manchester City akitokea Aston villa kwa ya paun milon nane  ,kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 atakuwa anapata mshahara wa kiasi paun laki moja kwa wiki

kiungo huyo mwanzoni alikanusha madai ya kuamia city na kusema atabakia villa park lakini kwa hali ya kushangaza mambo yakabadilika na kutua city kuhungana na stering kotoka liverpool fc

ARTULO VIDAL 80% YA AKRIBIA BUYERN MUNICH

Mchezaji wa juventus ambaye ni raia wa chile anakalibia kutua katika kablu buyern munich kwa ada ya paun milion 28 na atasaini mkataba wa miaka 4 na wa nyongeza akitaka kuongeza

Arturo Vidal

Tuesday, 14 July 2015

man united on tour USA

manchesterunited

Verified

Manchester United

 The official Instagram account of Manchester United Football Club. www.manutd.com
  • 2,783 posts
  • 4.6m followers
  • 31 following

Monday, 13 July 2015

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 13.07.2015

Juhudi za Manchester City kumsajili kiungo wa Juventus Paul Pogba zimekwama kutokana na mkataba wa hakimiliki wa picha za mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa. Pogba pia ataomba kuondoka ili kukamilisha uhamisho huo (Daily Star), Meneja wa Chelsea Jose Murinho anataka kumsajili Pedro, 27 kutoka Barcelona (Sport), Paris Saint-Germain wanataka kumsajili Angel Di Maria kutoka Manchester United, lakini meneja Laurent Blanc anasema itakuwa vigumu kwa sababu timu nyingi zinamtaka (L'Equipe), Manchester United wapo tayari kuzuia uhamisho wa David De Gea kwenda Real Madrid, vinginevyo mkataba ufikiwe kabla Man United hawajakwenda Marekani (Sun), Southampton wana matumaini ya kumsajili kiungo wa Uholanzi Jordy Claise, 24, kuziba pengo la Morgan Schneiderlin anayeelekea Manchester United (Sun), Newcastle wanakaribia kukamilisha uhamisho wa kiungo kutoka Uholanzi Georginio Wijnaldum, 24 kutoka PSV Eindhoven (Guardian), meneja wa Aston Villa, Tim Sherwood amempongeza nahodha Fabian Delph kwa kuamua kusalia Villa badala ya kwenda Manchester City (Birmingham Mail), wakala wa Victor Valdes anasema kipa huyo anataka kusalia Manchester United, licha ya kuhusishwa na kuhamia Antalyaspor ya Uturuki (AS), rais wa Napoli Aurelio de Laurentiis amesema atamuuza mshambuliaji wa Argentina Gonzalo Higuain ambaye pia amehusishwa na kuhamia Arsenal, iwapo kitita cha pauni milioni 64.7 kitatolewa (Daily Express), QPR watapata pauni milioni 9 kama mgao kwa mauzo ya Raheem Sterling kutoka Liverpool kwenda Manchester City. Winga huyo, 20, alisajiliwa na Liverpool kwa pauni laki tano mwaka 2010 (Daily Mail), Liverpool wanazungumza na Fiorentina kutaka kumchukua Mario Gomez, na wapo tayari kumtoa Mario Balotelli- wote kwa mkopo (Sport Mediaset), Jose Mourinho amezuia uhamisho wa John Obi Mikel kwenda Al-Ain na Al-Wahda za Falme za Kiarabu (BBC), Atletico Madrid wamekataa dau la Manchester United la kumsajili kipa Jan Oblak (AS). Habari zilizothibitishwa nitakufahamisha. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Cheers!

DAVID DE GEA AKWEA PIPA NA MAN UNITED KUELEKEA USA

Kipa namba moja wa manchester united DE GEA anatarajiwa kupanada ndege na kikosi kizima cha united kuekelea tour MAREKANI kipa huyo anaehusishwa na kuondoka united kuelekea REAL MADRID, kwani tayari ameshakataa ofa ya united ya mshahara wa pound 200000 kwa wiki kinachosubiriwa ni madrid kufika kiasi wanachokitaka man united cha pound 33milion lakini Madrid wako tayari kulipa kiasi cha pound 30 milion na mazungumzo bado yana endelea

kwani VAN GAAAL anataka dili ikamilike kabla ya kuelekea USA ili kujua kikosi atakachokua nacho msimu ujao
Manchester United issue shock David De Gea ultimatum

KIPA MAN UNITED AGOMA KUONDOKA





Kipa namba mbili wa manchester united VICTOR VALDES amegoma kuondoka katika klabu hiyo na kusisitiza kuwa atabaki klabuni hapo maneno hayo yamesemwa na wakala wake kufuatia uvumi ulizagaa kwenye vyombo vya habari kuwa ataondoka kuelekea uturuki 

CHELSEA YASAJIRI KIPA KUTOKA STOKE CITY

Mabingwa wa ligi kuu soka England ,wamefanikiwa kumsajiri kipa mahahiri kutoka katika kablu ya stoke city ASMIR BEGOVIC  kwa kitita kinachodhaniwa kuwa pauni milioni 8. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Bosnia-Hercegovina, 28, amesaini mkataba wa miaka minne Stamford Bridge.

Asmir Begovic signs for Chelsea from Stoke

MAN UNITED WAMSAJIRI SCHNEIDERLIN KWA MIAKA NNE

Timu ya manchester united au mashetani wekundu wamefanikiwa kumsajili morgan schneiderlin kutoka katika klabu ya southampton fc ,dili hiyo inasemeka imegharimu man united kiasi cha pound milion 24
 mchezaji huyo ilifanikiwa kupimwa afya jana siku ya jumapili na leo kufanya mazoezi na wenzake tayari kuelekea kwenye tour huko Marekani mchezaji huyo ankamilisha idadi ya wachezaji wanne mpaka sasa united imewasajiri ambao ni  Memphis Depay, Matteo Darmian and Bastian Schweinsteiger, 

Morgan Schneiderlin celebrates after scoring the first goal for Southampton