Ni miezi miwili tangu nahodha huyo wa majogoo wa LONDON kucheza kwa mara ya mwisho katika timu hiyo na kujiunga na timu LA Galaxy lakini imeoneka kama kamwe awezi kuusahau iyo timu aliyokulia na kuitumikia karibu kwa miaka 25 kwani alionekana akiwa na( Shin Pad) vikinga ugoko vya liverpool katika mechi ya timu yake LA Galaxy na SJ Earth Quekes kupata ushindi wa goli 5 kwa mbili
ambapo GERRARD alifunga goli moja na kutengeneza lingine

ambapo GERRARD alifunga goli moja na kutengeneza lingine

No comments:
Post a Comment