Inasemeka kipa wa Sampdoria na timu ya taifa ya Argentina Sergio Romero anatazamiwa kufanya vipimo vya afya marekani kwa ajiri ya kukamilisha usajili wake wa kuelekea MANCHESTER UNITED
mchezaji huyo ambaye yuko huru baada ya kumaliza mkataba na timu yake hiyo ya zamani sasa ni mchezaji huru
kwa sasa united inaitaji kipa wa kiwango cha juu baada makipa wake wawili kuwa katika haraki za kuondoka

No comments:
Post a Comment