Sunday, 19 July 2015

USA WAISAMBALATISHA CUBA 6-0 CONCACAF

Timu ya taifa ya Marekani jana usiku ilifanikiwa kuwafunga mahasimu wao wakubwa kisiasa na michezo kwa ujumla Cuba kwa kuwafunga mabao sita kwa sifuri

iliwachukua dakika tatu ya mchezo pale mchezaji wao mahili Clint Dempsey kuandika bao la kwanza baada kuandikisha bao la kwanza kwa kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa na beki wa kulia bao la pili lilpatikana dakika ya 15 mfungaji akiwa Zaldes ,bao la tutu dakika ya 32 mfungaji akiwa Johansen na la nne dk 45 mfungaji Gonzalenz na la tano na sita dk 64 na 78 mfungaji akiwa Dempsey na kuiwezesha timu kutinga nusu fainali

No comments:

Post a Comment