IFIKAPO Julai, lipo lundo la Wachezaji ambao watakuwa Huru na hivyo kuhamia Klabu nyingine Bure bila ya Malipo yeyote ikiwa hawatapewa Mikataba mipya na Klabu zao za sasa.
Ndani ya Listi hiyo, yapo Majina maarufu kama vile John Terry, Kepteni wa Chelsea, Mathieu Flamini na Mikel Arteta wa Arsenal, Michael Carrick wa Manchester United, Emmanuel Adebayor wa Crystal Palace, Kolo Toure wa Liverpool na Steven Pienaar wa Everton.Wengi wao hao ni wale Wachezaji wenye Umri mkubwa wakikaribia tamati za maisha yao Kisoka lakini pia yupo Chupikuzi aliechomoza Msimu huu huko Old Trafford, Cameron Borthwick-Jackson, ambae Juzi tu alitwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Vijana wa U-21 wa Man United.
PATA LISTI YA KILA KLABU YA WACHEZAJI HAO:
Arsenal:
Mathieu Flamini (Kiungo)
Mikel Arteta (Kiungo)
Tomás Rosicky (Kiungo)
Aston Villa:
Kieran Richardson (Beki)
Charles N’Zogbia (Kiungo)
Bournemouth:
Artur Boruc (Kipa)
Sylvain Distin (Beki)
Stéphane Zubar (Beki)
Chelsea:
Marco Amelia (Kipa)
John Terry (Beki)
Crystal Palace:
Emanuel Adebayor (Straika)
Adrian Mariappa (Beki)
Damien Delaney (Beki)
Marouane Chamakh (Straika)
Brede Hangeland (Beki)
Julian Speroni (Kipa)
Paddy McCarthy (Kiungo)
Everton:
Darron Gibson (Kiungo)
Tony Hibbert (Beki)
Steven Pienaar (Winga wa Kushoto)
Felipe Mattioni (Beki)
Leon Osman (Kiungo)
Leicester City:
Mark Schwarzer (Kipa)
Marcin Wasilewski (Sentahafu)
Liverpool:
Jose Enrique (Fulbeki wa Kushoto)
João Carlos Teixeira (Kiungo)
Kolo Touré (Beki)
Manchester City:
Martín Demichelis (Beki)
Richard Wright (Kipa)
Manchester United:
Michael Carrick (Kiungo)
Cameron Borthwick-Jackson (Fulbeki wa Kushoto)
Newcastle United:
No comments:
Post a Comment