Tuesday, 2 August 2016

MASHABIKI WA UNITED WAMLILIA Schweinsteiger

Mashabiki wa Man united walia na Kocha wao Mourinho aweze kumbakisha kwani ni moja wachezaji wazoefu kwenye kikosi hata kama hata tumika kwenye kucheza bali hatatumika kwenye kuwapa moyo wachezaji na kuwasaidi vijana wanaochipukia kwenye kikosi hicho ,

washabiki walifikia hatua ya kuandika kwenye instagram ya kocha wao mourihno na kuelezea hisia zao

 #SaveSchweinsteiger hashtag, begging him not to sell.

'You're an idiot to let him leave!' - Man Utd fans demand Mourinho doesn't sell Schweinsteiger







#SaveSchweinsteiger hashtag, begging him not to sell.


No comments:

Post a Comment